Huyu jamaa alikuwa zamani kwenye studio za kassanga jijini nairobi na alirekodi nyimbo nyingi pale nilkuwa naziona sana nyimbo zake na ukienda kwenye video liblary ya kassanga utazikutaWana bodi salamu.
Naamini hapa lilioshindikana kwingine hapa linawezekana.
Miaka ya 1996 hadi 1999, nilikuwa napenda kusikiliza Nyimbo za Timoth Ng'winamila, na albamu yake ya Mwana Mpotevu. Sasa ni muda mrefu sijazipata nyimbo hizoambazo kipindi hicho zilikuwa katika audio tape.
Nimejaribu kuzitafta nyimbo hizo Youtube, sijafanikiwa hata kidogo. Ila kupitia facebook,nilimpatamtu mmoja ambaye alinipa taarifakuwa jamaa aliacha uimbaji na ni mwajiriwa serikalini.
Kwa yeyeto anayewezakunipa contacts zake ili nimtafte, au kwa yeyote anayeweza kumshauri atuwekee youtube,tafadhali atusaidie.
Naamini JF ni mwisho wa yote.
Aksanteni in advance.
ntagunga
Mkuu aksante sana kwa maelekezo yako. Nimeingia google nikajaribu, nimekutana na post ya mwaka 2009 ikitafta nyimbo zake, nimeamua kusoma topic yote post kwa post, hatimaye nikakuta post yenye link ya nyimbo zake zote.Huyu jamaa alikuwa zamani kwenye studio za kassanga jijini nairobi na alirekodi nyimbo nyingi pale nilkuwa naziona sana nyimbo zake na ukienda kwenye video liblary ya kassanga utazikuta
Mkuu aksante sana kwa maelekezo yako. Nimeingia google nikajaribu, nimekutana na post ya mwaka 2009 ikitafta nyimbo zake, nimeamua kusoma topic yote post kwa post, hatimaye nikakuta post yenye link ya nyimbo zake zote.
Nimefurahi kuzipata za Mwana Mpotevu, ndo album yake niliyoijua.
Kwa nyimbo zote za Timothy, pitia hapa[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Timothy Ngw Inamila