Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,033 Feb 28, 2013 Thread starter #21 Tatizo letu huwa ni wagumu wa kuamini bana.. mie, nimekuambia kama upo zaidi poa.. Leah Brown said: Ww unataka kula ugali kwa picha ya Samaki..! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums Click to expand...
Tatizo letu huwa ni wagumu wa kuamini bana.. mie, nimekuambia kama upo zaidi poa.. Leah Brown said: Ww unataka kula ugali kwa picha ya Samaki..! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums Click to expand...
Lateni JF-Expert Member Joined Jun 11, 2012 Posts 676 Reaction score 335 Feb 28, 2013 #22 Ishmael said: ah ah! Emu weka kapicha kenye mfanano na wewe hapo, am happy kusia upo njema.. mambo mengine ni aje? Click to expand... Hahahaha, weka yako kwanza, Nahisi ushapokea application kama mia hivi, unitafute ili nikusaidie katika mchujo wa kwanza.
Ishmael said: ah ah! Emu weka kapicha kenye mfanano na wewe hapo, am happy kusia upo njema.. mambo mengine ni aje? Click to expand... Hahahaha, weka yako kwanza, Nahisi ushapokea application kama mia hivi, unitafute ili nikusaidie katika mchujo wa kwanza.
NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,314 Feb 28, 2013 #23 Ishmael said: Duniani wawili wawili. Click to expand... Utapata shida sana kumpata maana huyo wa pili wamfano huu hadi apatikane, mh! all the best bro!
Ishmael said: Duniani wawili wawili. Click to expand... Utapata shida sana kumpata maana huyo wa pili wamfano huu hadi apatikane, mh! all the best bro!
Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,033 Feb 28, 2013 Thread starter #24 ah ah.! Lateni hamna bana ngoja ni ku PM kwanza Lateni said: Hahahaha, weka yako kwanza, Nahisi ushapokea application kama mia hivi, unitafute ili nikusaidie katika mchujo wa kwanza. Click to expand...
ah ah.! Lateni hamna bana ngoja ni ku PM kwanza Lateni said: Hahahaha, weka yako kwanza, Nahisi ushapokea application kama mia hivi, unitafute ili nikusaidie katika mchujo wa kwanza. Click to expand...
Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,033 Feb 28, 2013 Thread starter #25 Asante! NATA, mvumilivu hura mbivu, mtafutaji wa kweli hua hachoki kutafuta NATA said: Utapata shida sana kumpata maana huyo wa pili wamfano huu hadi apatikane, mh! all the best bro! Click to expand...
Asante! NATA, mvumilivu hura mbivu, mtafutaji wa kweli hua hachoki kutafuta NATA said: Utapata shida sana kumpata maana huyo wa pili wamfano huu hadi apatikane, mh! all the best bro! Click to expand...
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 27,615 Reaction score 62,416 Mar 1, 2013 #26 Ishmael said: Naitaji mwana mke mwenye muonekano kama katika picha hapo chini . 1. Umri usizidi 29years.2. Elimu yoyote ile, awe kasoma au hajasoma sawa.3. Dini yoyote ile.4. Kabira yoyote ile.5. Awe na kazi asiwe na kazi sawa. Click to expand... hahahaaaaa....!!!!. mia
Ishmael said: Naitaji mwana mke mwenye muonekano kama katika picha hapo chini . 1. Umri usizidi 29years.2. Elimu yoyote ile, awe kasoma au hajasoma sawa.3. Dini yoyote ile.4. Kabira yoyote ile.5. Awe na kazi asiwe na kazi sawa. Click to expand... hahahaaaaa....!!!!. mia