Tatizo wewe hadi cheti, kunamwalimu,(MADAM) mwenye uzoefu wa miaka mitano. Anafundisha medium nursery school. Had saivi yupo kazin lakin mkataba wake unaishia mwez huu tar.25. Aanavigezo tajwa hapo juu ispokuwa cheti japo chuo alisoma but mwishon alishndwa kupata cheti. Kwa 2moth kabla ya kumaliza alipata matatzo makubwa yaliyopelekea ashindwe kumalizia chuo. Kama unamhitaji , nipm,