pingu mkoka
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 434
- 112
innallilah wainah illah rajikhun
Oops! Jmn d world ve turned upsetdown.Mungu ailaze roho ya hyo mtoto mahal pema peponi.lets term a big Emen!
Mwalimu mmoja wa madrasa huko mbagala amemuua mwanafunz wake kwa kumchinja kama kuku.mwalim hy ambaye anafahamika kama ostadh,inadaiwa lengo lake kutaka kumlawiti lilishindika ndipo alipo amua kuchukua kisu na kumchinja kwa kumtenganisha kichwa na kiwili wili na yeye mwenyewe kuuwawa na wananchi wenye hasira kali.
Mungu ibarik TZ.
Souce wapo radio
ni kweli mkuu nimepita maeneo hayo
ni majimatitu mbagala
sikufuatilia sana nijue kisa ni nin
Siyo Majimatitu mkuu, ni transfomer au wanapaita foma. Imetokea jioni hii na ikapelekea kuwa na foleni kubwa kiasi maeneo hayo...