Habari za humu, nimehitimu chuo kikuu na kupata Bachelor's Degree of Arts with Education huku nikijikita katika masomo ya English na Kiswahili.
Natafuta shule ya kufundisha masomo tajwa!, Iwe ya secondary au medium mi npo tayari kama kuna mtu anaweza nipatia ajira au anaweza nisaidia kupata ajira ya kufundisha nasomo hayo tawasiliane
e-mail . sylvesterelizabeth25@gmail.com
Npo moshi .Asante