Salaam,
Ninahitaji mtu anayejua karate vyema ili anifundishie vijana wangu aged 7 & 12.
Hii ni katika kuwaweka fiti ili mtu akiwazingua huko mashuleni ama popote waweze kujitetea vyema.
Self defense nimeona iwe muhimu sana kuwa installed kwa wanangu. Hivyo iwapo wewe ni mkufunzi mzuri, naomba tuwasiliane haraka iwezekanavyo.
Mahali: Dar (Kinondoni)
Muda: Nahitaji kwa kipindi hiki cha mwezi December, kwani wapo likizo (tutaona pia namna ya kuongeza muda)
Malipo: Taja bei na ni mara ngapi kwa week utafundisha.
Pa1.