Mwalimu wa Computer anahitajika mwenye sifa zifuatazo:
- awe amemaliza funzo ya computer kwenye chuo chochote
- Awe anaujuzi wa kufundisha masomo kama yafuatayo:
Computer application,Graphics design,computer maintenance,website design using HTML language and dreamever
Mshahara ni maelewano
Mawasiliano
0717493284 au tuma cv yako kwenye email :tinarise2015@gmail.com