mwalimu shule ya msingi anajiendelezaje mwaka huu

x - mas

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
953
Reaction score
670
wadau mwenye kufahamu kuhusu kozi ya elimu au inayohusuana na elimu ambayo mwalimu wa grade A wa shule ya msingi anaweza kujiendeleza na kupewa ruhusa ya malipo kwa mwaka huu atujuze taphadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…