Mwaliko.

Mashimba1

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
814
Reaction score
303
Ikiwa kuna mrembo yupo hapa mitaa ya MAC RESTAURANT, njoo tuzungumze kidogo.
 
Mtongozo siyo
Ungesema aijie
Pesa mpaka ungewakimbia

Teh
 
Hata siyo mtongozo mkuu wangu. Nikubadilishana uzoefu wa maisha. BTW, hivi bado kuna watu wanatoa hela....!?
Sisi siyo watoto

Hehehe kwa nini
Ubague wanawake tena
Haitoshi awe mrembo

Teh
 
Sisi siyo watoto

Hehehe kwa nini
Ubague wanawake tena
Haitoshi awe mrembo

Wanaume ninashinda nao siku zote, leo ni special day kwa wadada warembo. Leo ni siku yangu ya kuzaliwa, nauanza mwaka kwa aina yake. Tehe.

Teh
 
Ukiona hivyo, ujue leo bibi yako nyumbani kachachamaa, hakukaliki hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…