Hawa jamaa wapo kimya kinoma baada ya kupata uwaziri wamefungwa midomo kabisa, afadhali wajiuzulu nyadhifa zao za uwaziriri ili waweze kuhoji vizuri malipo ya kampuni hewa ya kufua umeme ya DOWANS.
Wakati akili ikizidiwa nguvu na tumbo mara zote binadamu hupungukiwa na uwezo wa kufikiri, utokwa na maneno kana kwamba anatapika, sijui kwanini matapishi unuka kama kinyesi!!
Hawa jamaa wapo kimya kinoma baada ya kupata uwaziri wamefungwa midomo kabisa, afadhali wajiuzulu nyadhifa zao za uwaziriri ili waweze kuhoji vizuri malipo ya kampuni hewa ya kufua umeme ya DOWANS.
What do you want them to say while they gave their views before cabinet meeting, after cabinet decision they can't go against unless they resign!!!:A S 13:
Misimamo yao walishaiweka wazi kwa wananchi kupitia bunge,je na wewe kama mwananchi umefanya nini after that?! Jiulize na wewe kwanza...
Au unazania yale yalikuwa maigizo/komedi walitoa? Msipende kuleta majungu yasiyo na msingi
Hawa jamaa wapo kimya kinoma baada ya kupata uwaziri wamefungwa midomo kabisa, afadhali wajiuzulu nyadhifa zao za uwaziriri ili waweze kuhoji vizuri malipo ya kampuni hewa ya kufua umeme ya DOWANS.
Kuna kampuni lulani ya kimarekani wanataka kuanzisha mradi muheza tanga ila wanauliza in network gani wanaweza kuchukua? waliuliza zantel ila inaonekana zantel hawana coverage maeneo hayo, P lease naombeni mnijuze
Hawa jamaa wapo kimya kinoma baada ya kupata uwaziri wamefungwa midomo kabisa, afadhali wajiuzulu nyadhifa zao za uwaziriri ili waweze kuhoji vizuri malipo ya kampuni hewa ya kufua umeme ya DOWANS.
What do you want them to say while they gave their views before cabinet meeting, after cabinet decision they can't go against unless they resign!!!:A S 13:
Baba yao Rostam anawajua wote na udhaifu wao. Nani anakumbuka reaction ya Sitta Slaa alipohoji ukubwa wa mishahara ya wabunge! Na kwenye kampeni za uchaguzi mkuu Sitta alisema nini kuhusu sera ya CDM ya elimu bure? Sitta ni mmoja wa mafisadi waliotukuka ndani ya chama lao la mafisadi.