girl:bby..
Boy: Yec bby..
Girl: Hii simuu..
Boy: Imefanyajee?
Girl: Inazinguaa..
Boy: Ina nn?
Girl: Asa kila siku wananiona na
hiihii?
Boy: Sasa si ndo uliyonayo?
Watakuonaje na ingine?
Girl: Aaaah! Bby mi najickia
vbayaa..
Boy: Ucjickie bebi, kwan vipii?
Girl: Marafiki zang wote wana cm
nzuri, wananicheka..
Boy: Usishindane naoo, wazazi
wao wana hela! Naww soma
mwanetu asije kuchekwa ka
ww...sawa?
Girl: Bby stakiiii....
Boy: Tufanyeje ss?...........bby
girl: Namm nataka iphone-5s, au
galaxy-s5
boy: Bby si tumekubaliana
tuvumiliane lkn? Umekuaje tangu
ufike chuo?
Girl: Hamna.
Boy: Mi mwenyew naishi kwa
mkopo, bado cjawaza unakula nn,
iphone mi natoa wap?
Girl: Mi cjui bwana, we
mwanaume..
Boy: Mi mwanaume ndio, ila
usinifanyie ivyo mamy...mwenyew
unajua..
Girl: Poa, bas ntajua ntakoipata
mwenyewe..
Boy: Kwaio husomi tena unawaza
i4n sio? We unasoma au unafanya
maonyesho ya simu?
Girl: Nasoma..
Boy: Sasa hiyo uliyonayo ina shida
gan? Muda wa ma2miz ya sim
kwanza unatoa wap?
Girl: Bby mi mtoto wa kikee..
Boy: Kwaio unatakaje?
Girl: Nataka niwafunike wotee..
Boy: Poa, kesho tukutane twn bas
nkakununulie turubai...pumbavu