Mzee_Wa_Conspiracy JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 667 Reaction score 352 Aug 5, 2015 #1 Mbunge wa Mpendae Zanzibar akijulikana kama Salim Turkey akimwaga hela kwa wajumbe apate kuchaguliwa wakati wa kura za maoni Zanzibar. Attachments turkey.jpg 123.6 KB · Views: 2,374
Mbunge wa Mpendae Zanzibar akijulikana kama Salim Turkey akimwaga hela kwa wajumbe apate kuchaguliwa wakati wa kura za maoni Zanzibar.
PRINCE CROWN JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,210 Reaction score 4,182 Aug 5, 2015 #2 hiki chama kimeshapoteza sifa za kuongoza hili taifa, nawashangaa sana wanao kishabikia hawajui waendako,
hiki chama kimeshapoteza sifa za kuongoza hili taifa, nawashangaa sana wanao kishabikia hawajui waendako,
Mu-sir JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 3,621 Reaction score 1,645 Aug 5, 2015 #3 Haya Takukuru ushahidi huo hapo
Lj Mwambar JF-Expert Member Joined Apr 23, 2013 Posts 605 Reaction score 363 Aug 5, 2015 #4 Ha ha ha umejuaje anagawa hela hili achaguliwe . Kumbe ndo maana lowasa anavaa nguo nyeupe kumbe ni sare ya ccm .
Ha ha ha umejuaje anagawa hela hili achaguliwe . Kumbe ndo maana lowasa anavaa nguo nyeupe kumbe ni sare ya ccm .
Tetty JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 26,355 Reaction score 21,424 Aug 5, 2015 #5 Siyo Rushwa hiyo ni TAKRIMA kwa kunipigia kura au asante tu jamani.....
Chibolo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 5,768 Reaction score 8,044 Aug 5, 2015 #6 Nimemuona madabida akisema kila mgombea ana fungu lake la kugawa uli aweze kupitishwa.
mndorwe JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 2,472 Reaction score 1,028 Aug 5, 2015 #8 Hahaa......ni nomaaa wagawe tu pesaaaa
kidaganda JF-Expert Member Joined Aug 26, 2013 Posts 2,999 Reaction score 2,582 Aug 5, 2015 #9 Aibu sana hii ila watakuja watu watatetea huu ujinga
H honoget JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 1,713 Reaction score 374 Aug 5, 2015 #10 ccm ndio jadi yetu.Bila rushwa haiwezekani
H honoget JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 1,713 Reaction score 374 Aug 5, 2015 #11 goli la mkono kila sehemu.
bodaboda2 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 872 Reaction score 231 Aug 5, 2015 #12 honoget said: ccm ndio jadi yetu.Bila rushwa haiwezekani Click to expand... Asante, mkuu. Kweli majizi yote na wala rushwa wapo CCM
honoget said: ccm ndio jadi yetu.Bila rushwa haiwezekani Click to expand... Asante, mkuu. Kweli majizi yote na wala rushwa wapo CCM
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,936 Aug 5, 2015 #13 Dotworld said: Click to expand... Jamani anawalipa mawakala wake!
mateso ya ccm JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 233 Reaction score 36 Aug 5, 2015 #14 ya taka moyo kupeperusha bendera ya ccm mikoani hasa mjini.
S Sildenafil New Member Joined Aug 1, 2015 Posts 3 Reaction score 0 Aug 5, 2015 #15 Naogopa kuchangia Kwa jazba, kwa kuwa sina uthibitisho juu ya hilo. Yawezekana ilikuwa ni picha ya miaka ya nyuma Pia. Ila kama ni rushwa basi vyombo vya Dola vimshughulikie
Naogopa kuchangia Kwa jazba, kwa kuwa sina uthibitisho juu ya hilo. Yawezekana ilikuwa ni picha ya miaka ya nyuma Pia. Ila kama ni rushwa basi vyombo vya Dola vimshughulikie