Mwaka mpya ulikukuta wapi?

Funge

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
581
Reaction score
167
Kama ulikukuta baa, sehemu kubwa ya maisha yako itatumika baa. Kama umekukuta kwenye jengo la ibada, mwaka huu Mungu ataonekana kwako
......
 
nikiwa road nimesimama huku natembea nikisema happy new year kwa yeyote ninayemuona.
 
Mi nilikuwa nacheza dushelele na mke wangu kitandani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…