Mmh! ningekushushia darasa,lakini subiri kwanza niwasubirie wazee wa nondo kama Mzee mwanakijiji,Kiranga,Mkandara,Nguruvi3
Pasco,EMT nk. Hao ni wachache tu lakini list inaendelea....hawa jamaa wakipita kwenye post hii hakika watakupa majibu sahihi ya
kukonga moyo wako