Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,444
tuandamane kuikemea mvua
Hivi Dar upo kweli?Huu ni mji wa ajabu maana hakuna mfumo wa kupeleka maji baharini
Dar ni ovyo zaidi ya Mtwara.Hivi Dar upo kweli?
Mkuu kwanini unataka kuwafanya watu wa Mtwara ni wajinga kiasi hiki?tuandamane kuikemea mvua
tuandamane kuikemea mvua
Tuibalishe gesi ili itusaidie kujenga miundombinu bora zaid
mtwara bila ccm inawezekana,tuamue sasa