Tulipowasema tukaambiwa tunaharibu brand zao ambazo ni ngumu kuzijenga tena zikishaharibika. Tukaambiwa tuwaache.Tunatengeza kizazi kibovu watoto wanaharibika mapema sana baada ya miaka ijayo tutakuwa na jamii iliyoharibika na kukosa maadili
yule tangu mwanzo wimbo wake wa IOKOTE aliimba matusi humo na basata wakapotezea nyakati zikapita, basata huwa wanapigwa chenga kidogo sana, wimbo unajazwa matusi ya kingono unaachiwa mitaani watu wanaserebuka naoMaua sama sio, Ubunifu kwasasa ni zero.
Kwahyo unakubali bia tamSisi ndo tunaupenda. Kasikilize injili kama huo unakukera it's that simple.
Kwahyo unakubali bia tam
Ipo nyingi inaitwa "chomeka" ni aibu ani..Maua sama sio, Ubunifu kwasasa ni zero.