Muziki wa bongofleva

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
1,861
Reaction score
828
ni kwa nini nyimbo nyingi za bongofleva zinawahi kuisha ladha?nionavyo mimi wimbo ukitoka unavuma baada ya muda mfupi hakuna wa kuusikiliza tena!!.nisaidieni tafadhali
 
Nahisi ushindani umekuwa mkubwa na viwango vya washindani havijatofautiana sana ndo. Pia style za uimbaji ziko zinafanana hakuna anayeleta kitu tofauti sana. Ila hata hivyo wanajitahidi sana kubadilika nowdays hata videos ziko fresh sana..
 
Wanamuziki wengi Ni waigaji tu no one to create a new idea dats the reason always thngs zinafanana tu
 
Media ni nyingi mno....wimbo mmoja unaweza kuusikia zaidi ya mara 20 kwa siku. Na sifa ya wimbo ukiusikia mara nyingi ndivyo unavyozidi kuuchoka hence unachuja.
 
nyimbo za siku hizi hazina ujumbe ni mapenzi tu ... zinaboa kusikiliza
wasanii wanaangalia kutengeneza chapaa sio kuweka legacy
Inakatisha tamaa kwamba the smartest are not appreciated

Mi siwezi kuwasahau Daz Nundaz, Pro Jay na Jay Mo cz Album zao zilikua za ukweli. Wameona mziki haulipi wameamua kutulia kuangalia watoto wanavyotengeneza hela
 
Mimi nina nyimbo zangu ambazo nazipenda na hazjawah kuchuja masikion mwangu. Ngoma za jaymoe zote,fa zile za zamani na za jasusi kubanda hazijawah kunchosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…