Hili limekuw likinikera sana WAKUU!! karibu tv&radio zote za hapa BONGO, ktk vpnd vyao vinavyohusu muzik wa AFRIKA, wao hupiga muzik kw 99% ni kutoka CONGO, wkt AFRIKA ina utajir mkubw tu wa aina tofaut za mirindimo! Sasa huu ni ulimbuken au nini?
Hilo lipo mkuu tena kw kiwango kikubw tu mi nadhan ni kasumba waliyonayo au wengine hawajuw kwan kw mtazamo wa bila kuyacheza masebene bado hakuna uafrika hapo na hii c sahih kabisa! naikumbuka RTD niliwajuw wanamuzik weng wa Afrika kupitia kule!