Hiki chuo mkuu mi mwenyewe nimejalibu sana kuserch web yao lakini sikufanikiwa kuipata.ila mwaka huu ndo najiandaa kutuma maombi katika hicho chuo niakagonge clinical medicine mungu akipenda! ila nasikia ni chuo kizuri sana maana ni chuo harafu wanahospitali kubwa ya wilaya humohumo wanafunzi wapo free kuingia clinical area!