M magai majigo Member Joined Sep 19, 2016 Posts 76 Reaction score 27 Jul 4, 2019 #1 Nurse mwenye cheti cha addo Duka lipo mwanza usagara Nakulipia chumba miez 2, nakupa pesa ya kula 2000 kila siku salary 120,000. Alietayari nicheki kwa namba 0689636330
Nurse mwenye cheti cha addo Duka lipo mwanza usagara Nakulipia chumba miez 2, nakupa pesa ya kula 2000 kila siku salary 120,000. Alietayari nicheki kwa namba 0689636330
Griseofulvin JF-Expert Member Joined Sep 15, 2016 Posts 1,015 Reaction score 2,015 Jul 4, 2019 #2 Je, kwa yule ambae hajapitia Mafunzo ya Addo, Na mdogo wangu hapa lakini hajapitia hiyo course
Mr Kaptenovela JF-Expert Member Joined Jan 2, 2018 Posts 621 Reaction score 618 Jul 4, 2019 #3 Wanakuja
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,676 Jul 4, 2019 #4 Griseofulvin said: Je, kwa yule ambae hajapitia Mafunzo ya Addo, Na mdogo wangu hapa lakini hajapitia hiyo course Click to expand... Kasoma kozi gani?
Griseofulvin said: Je, kwa yule ambae hajapitia Mafunzo ya Addo, Na mdogo wangu hapa lakini hajapitia hiyo course Click to expand... Kasoma kozi gani?
kajamaa kadogo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2018 Posts 2,722 Reaction score 6,510 Jul 4, 2019 #5 bora cheti nichome moto kuliko niteseke Au umekosea hapo daily ni 2000
Griseofulvin JF-Expert Member Joined Sep 15, 2016 Posts 1,015 Reaction score 2,015 Jul 4, 2019 #6 Mwifwa said: Kasoma kozi gani? Click to expand... Nurse Assistance
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,676 Jul 4, 2019 #7 Griseofulvin said: Nurse Assistance Click to expand... Anaweza kufanya kazi, kazi elekezi pia ni muhimu
Griseofulvin said: Nurse Assistance Click to expand... Anaweza kufanya kazi, kazi elekezi pia ni muhimu
DASM JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 2,422 Reaction score 3,001 Jul 4, 2019 #8 Griseofulvin said: Je, kwa yule ambae hajapitia Mafunzo ya Addo, Na mdogo wangu hapa lakini hajapitia hiyo course Click to expand... Msaidie akapewe mafunzo addo. Bila hicho cheti atakamatwa na watu wa TFDA Duka linafungwa
Griseofulvin said: Je, kwa yule ambae hajapitia Mafunzo ya Addo, Na mdogo wangu hapa lakini hajapitia hiyo course Click to expand... Msaidie akapewe mafunzo addo. Bila hicho cheti atakamatwa na watu wa TFDA Duka linafungwa
Griseofulvin JF-Expert Member Joined Sep 15, 2016 Posts 1,015 Reaction score 2,015 Jul 4, 2019 #9 DASM said: Msaidie akapewe mafunzo addo. Bila hicho cheti atakamatwa na watu wa TFDA Duka linafungwa Click to expand... Ok mkuu ndio nipo kwenye huo mpango nitafanya hivyo
DASM said: Msaidie akapewe mafunzo addo. Bila hicho cheti atakamatwa na watu wa TFDA Duka linafungwa Click to expand... Ok mkuu ndio nipo kwenye huo mpango nitafanya hivyo