johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,904
- 146,012
Kwa hii video sio yeye
Nawasiliana na wahusika kufanikisha kuwakutanisha kuondoa utata watanzania hupenda kushupalia vitu visivyo na tija!Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana
Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama wakuu watamuona kama ilivyokuwa kwa Majaliwa wa Bukoba
Muuza madafu amesema alikuwa kwa mama Ntilie Ndio akamuona Komandoo luningani na kugundua wamefanana sana
Mwisho muuza madafu amemuombea Heri Rais Samia na kumuhakikishia yuko salama kutokana na kikosi alichokiona uwanjani
Source: Ayo TV
Plausible deniability!Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana
Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama wakuu watamuona kama ilivyokuwa kwa Majaliwa wa Bukoba
Muuza madafu amesema alikuwa kwa mama Ntilie Ndio akamuona Komandoo luningani na kugundua wamefanana sana
Mwisho muuza madafu amemuombea Heri Rais Samia na kumuhakikishia yuko salama kutokana na kikosi alichokiona uwanjani
Source: Ayo TV
Kwahiyo huyu ni muuza madafu πππ
Ndio ni muha muuza madafu alicheza karet na boxing na yeye yule jamaa alimuona akiwa Kwa mama ntilie tu kwenye luningaKwahiyo huyu ni muuza madafu πππ
Wakiunganishwa wote jukwaa Moja nishtue. Nipo paleeeMuuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana
Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama wakuu watamuona kama ilivyokuwa kwa Majaliwa wa Bukoba
Muuza madafu amesema alikuwa kwa mama Ntilie Ndio akamuona Komandoo luningani na kugundua wamefanana sana
Mwisho muuza madafu amemuombea Heri Rais Samia na kumuhakikishia yuko salama kutokana na kikosi alichokiona uwanjani
Source: Ayo TV
Kuwa mwenye kuaminiMuda utasema, wakutanishwe
HIyo video ilionyeshwa anahojiwa na Millard ayo anasema yeye Sio mjeshi sema anafanana na Yule Komando..Kwa hii video sio yeye
Ndo tunavyoambiwa eti muuza madafu na Boda boda pia π π π€£π€£Kwahiyo huyu ni muuza madafu πππ
Ivi Geita ulishahama eeeenhNawasiliana na wahusika kufanikisha kuwakutanisha kuondoa utata watanzania hupenda kushupalia vitu visivyo na tija!