Mimi naona ni muungano WA serikali mbili (SMZ na Tanganyika-mfu) kupata JMT..
Kwa hiyo, wa-Tanganyika watakuwa wanahudumia serikali mbili (ya JMT na ile ya Tanganyika) na wa-Zenj wataihudumia SMZ na JMT!
Kimsingi, na kwa maoni yangu, serikali zinazohudumiwa na washirika WA Muungano, ni mbili na siyo tatu!