MUUNDO WA UTAWALA MKOA

Relax

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
29
Reaction score
4
katibu tawala mkoa
katibu tawala msaidizi uchumi
katibu tawala msaidizi mipango
katibu tawala msaidizi elimu
katibu tawala msaidizi uchukuzi
katibu tawala msaidizi utawala
katibu tawala msaidizi serikali mtaa
mkuu wa kitengo manunuzi
mkuu wa kitengo ukaguzi wa ndani
mkuu wa kitengo tehama
katibu tawala msaidizi maji


vyeo hivi, bado vipo?
 
Kuna baadhi vipo na vingine havipo.uchumi na mipango ni section moja,umeacha Afya, Fedha,Kilimo na Mifugo
 
Muundo wetu wa utawala wa mikoa tuliiga walivyokuwa wanafanya waingereza miaka hiyo ya 60's. Waingereza wamebadili mfumo mara kadhaa sasa. Kwa nini tusijifunze kutoka kwao wamebadili kwa namna gani na sisi tuige kutoka kwao? Sidhani kama Waingereza wata-mind sana kutusaidia kwa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…