Muuaji hana sifa ya kuongoza nchi

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,934
Unakubalioana na mimi Mtu mwenye sifa ya kuua watu wasio na hatia hana sifa za kuwa rais wa nchi yetu.

Wamama wajawazito na watoto waliuwawa na kusimikwa kesi za uongo za uhaini. Huku miili ikitekwa na polisi wapenda rushwa na wapumbavu.
 

Duh
 
Ataua wote after atabaki anamtawala mme wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…