Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,453
- 283,786
Hii Ni asili ya binadamu ama ubongo kutafuta pleasure Wala usimlaumu laumu nature ilichotupa.yaani we're hard wired to avoid both physical and mental/emotions pains by any means and seek pleasure kwa cost yoyote so unapokuwa huwezi cost ya ku afodi pleasure unabakia kutukana tu ama kujaribu kuikataa ama kuitungia jina baya ili uwe comfortable Mana pia our brain haipendi ukweli unaoumiza ipo radhi itunge uonge ili ifaridhike Mara matajiri hawataenda mbinguni,Mara wanatoa kafara, Mara loves of money is source of evils,na maandiko pia yanawasapoti kuwa tajiri haendi mbinguni Bora sijui ngamia apite sijui tundu gani.mpenda Pombe za kupitiliza na Mla Bata na Mpenda Makahaba asiyejificha
Naunga mkono hoja.Tatizo kubwa sana la CCM ni kuwapa vyeo watoto wa viongozi kama bakhshish , ili kuendeleza na kulinda hujuma walizofanya Wazazi wao za kuitafuna Nchi .
Huyu Diwani wa Kawe anayeitwa Mutta ambaye ni mtoto wa Mfadhili wa CCM Marehemu Getrude Lwakatare , hana kipawa cha uongozi , amelazimishwa tu kuwa Diwani na kupachikwa kwenye Uchungaji wakati ni Muhuni na Msela , mpenda Pombe za kupitiliza na Mla Bata na Mpenda Makahaba asiyejificha ( Walaaniwe wote waliomsimika kuwa Mchungaji wa kanisa ).
Baada ya kupotelea kwa Ashura Mzaramo, kule Tabata na kukombolewa na jamii, imearifiwa leo kwamba Kapotea tena, Taarifa zinaonyesha kwamba Juhudi za kumtafuta hazjiazaa matunda, safari hii usishangae ukiambiwa Kakutwa kwa TATU KIPINI wa Buza kwa Lulenge , hivi ni kiongozi gani wa aina hii anayeachwa tu madarakani ?
Yusuph Manji alivuliwa udiwani wa Mbagala Kuu kwa sababu za kipuuzi tu , Kwanini huyu Mlevi anayedhalilisha familia yake anaachwa tu , Nani anamlinda na kwa maslahi yapi ? kwanini asiachwe na mapombe yake ya hela za urithi na michepuko ?
Wewe kwani unamuona yuko sawa yule ....muta Ana matatizo muda tu nashanga viongozi wake hawajui/wanajifanya hawajuiSiku niliyogundua huyo jamaa Kichwan ni chenga alileta masifa hadi kwenye msiba wa mama yake.
Eti "mimi naitwa mheshimiwa Rutta, ni mtoto wa mheshimiwa marehem Getrude Lwakatare, mheshimiwa mama yangu tutamkumbuka sana, naweza kusema kifo Cha mheshimiwa mama yangu kimekuja ghafla, kabla ya kifo nilimuuliza Muheshimiwa mama nini kinakusumbua sana? Muheshimiwa mama akaniambia Muheshimiwa Mwanangu Niko sawa Wala usijali, lakin bahati mbaya ndo hivyo Mungu kamchukua Muheshimiwa mama yangu"
hiyo ndo hulka ya wahaya,sifa,majigambo nk ni sehemu ya desturi yao hata kama hama kitu hulka hizo ziko pale pale.nsomile.Siku niliyogundua huyo jamaa Kichwan ni chenga alileta masifa hadi kwenye msiba wa mama yake.
Eti "mimi naitwa mheshimiwa Rutta, ni mtoto wa mheshimiwa marehem Getrude Lwakatare, mheshimiwa mama yangu tutamkumbuka sana, naweza kusema kifo Cha mheshimiwa mama yangu kimekuja ghafla, kabla ya kifo nilimuuliza Muheshimiwa mama nini kinakusumbua sana? Muheshimiwa mama akaniambia Muheshimiwa Mwanangu Niko sawa Wala usijali, lakin bahati mbaya ndo hivyo Mungu kamchukua Muheshimiwa mama yangu"
Samia hafanyi Mambo binafsi au lipumba wanafanya na viongozi ,huyu ofisini haonekani ,nyumbani haonekani akitoa fedha bank ndo line zinasoma baada yahapo anazimaMaisha binafsi
Hata kura anapigiwa na Mateja wa UkwamaniWewe kwani unamuona yuko sawa yule ....muta Ana matatizo muda tu nashanga viongozi wake hawajui/wanajifanya hawajui
Ova
Umesahau mheshimiwa diwani wa mchongo ni Mhaya.Siku niliyogundua huyo jamaa Kichwan ni chenga alileta masifa hadi kwenye msiba wa mama yake.
Eti "mimi naitwa mheshimiwa Rutta, ni mtoto wa mheshimiwa marehem Getrude Lwakatare, mheshimiwa mama yangu tutamkumbuka sana, naweza kusema kifo Cha mheshimiwa mama yangu kimekuja ghafla, kabla ya kifo nilimuuliza Muheshimiwa mama nini kinakusumbua sana? Muheshimiwa mama akaniambia Muheshimiwa Mwanangu Niko sawa Wala usijali, lakin bahati mbaya ndo hivyo Mungu kamchukua Muheshimiwa mama yangu"
Huyo diwani anae STADI za Kazi hana Stadi za MaishaJamani emotions intelligence Ni ya muhimu kwa jamii yetu
Things that schools don't teach: . Emotional behaviour . Financial management . Relationship building . Developing the passion . Handling failures . Forgiveness . Generosity . Altruism . Persistence . Mental health.
Hizi ndio maisha yetu ingawa school hawazitilii maanani tunajifunza umri umeshaenda