Waafrika tutatengeneza katiba nyingi nzuri sana, lakini hatutazifuata ng'o!
What does the law state?
7. A person elected as President in accordance with this Constitution shall assume office as President as soon as he is declared to be elected.
8. A person assuming the office of President shall, before entering upon the office, take and subscribe the oath of allegiance and such oath for the due execution of his office as may be prescribed by or under an Act of Parliament.
Hiki ndo nimekipata kwenye hiyo link yako: "Revised Edition (1998) 1992
Printed and Published by the Government Printer
Nairobi"
Hiki ndo nimekipata kwenye hiyo link yako: "Revised Edition (1998) 1992
Printed and Published by the Government Printer
Nairobi"
Akiambiwa yuko kwenye orientation?
Akiambiwa yuko kwenye orientation?
being president elect means that he is the interim president else we have two presidents kibaki who is set to hand over power and uhuru is elect. in the event of a state function who is who? sababu hata CIC ilipinga the current executive minsters kuwa afisini kihatia. kwa sasa tunajadiliana tu jinsi moyo wetu unatupendeza bila ufahamu
jaji mutunga ataapisha wakati kesi imekwisha amuliwa kortini nani kashinda uchaguzi wa machi 2013. ndio ukaona uhuru kapanda airforce one jambo lililomuudhi muthama meaning he is the current president. legaly he is a president mpaka korti itakapoamua vingine.
Nikidhani kura za Wakenya ndizo zimempatia urais kumbe bado kuna mazingaombwe mengine!Mkuu hakuna kitu ya namna hiyo. Either;
-Supreme Court imthibitishe na
-Aapishwe na Jaji Mkuu, sidhani kama Kuna zaidi ya hapo labda ni kiherehere.