muswada kurudi bungeni then what?

Wapinzani wanataka posho tu ya vikao vya bunge ila hawana lolote la maana.
 
Bado hatujachelewa! Vuta subira kidogo utaona kunachoendelea nyuma ya pazia!
 
Hii ni CCmism political culture. Tutahangaika nayo hadi kizazi cha Kikwete na Nchemba kitoweke. Hivyo ninabashiri itaendelea kusumbua taifa hili hadi miaka ya 2070s unless tuamue kuingia msituni.
 
Hii ni CCmism political culture. Tutahangaika nayo hadi kizazi cha Kikwete na Nchemba kitoweke. Hivyo ninabashiri itaendelea kusumbua taifa hili hadi miaka ya 2070s unless tuamue kuingia msituni.

ingia wewe na bibi yako, sisi tutaleta mabadiliko kwa njia ya sanduku la kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…