GE2025 Musukuma: Hatufanyi kazi kwa kusikiliza mitandao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
604
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Geita kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Joseph Msukuma amesema kuwa Tanzania haifanyi kazi kwa kusikiliza mitandao Ila kwa kufuata uhalisia na utatuzi wa matatizo ya watu na kumtabiri Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa atashinda Urais kwa asilimia 98.
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu taahira anafanya kazi gani? Hana qualification yoyote, mwizi wa madini huyu.
 
Aache maneno mengi, asijione nae tutamuelewa kama Magufuli eti kisa nae tu ni msukuma, ajiangalie sana mdomo utammaliza.
 
Sasa hasikilizi mitandao mbona anaongelea mitandao? simply rubbish🚮🚮🚮🚮
 
Huyu hana vigezo vya kuongea na watu wenye akili asome kwanza QT
He is so annoying, huyu ndiyo amefanya majirani zetu watudharau. Hana elimu, hana akili, alichobaki nacho ni wizi na uchawa. Sijawahi kuona mpumbavu kama huyo Msukuma.
 
He is so annoying, huyu ndiyo amefanya majirani zetu watudharau. Hana elimu, hana akili, alichobaki nacho ni wizi na uchawa. Sijawahi kuona mpumbavu kama huyo Msukuma.
Sijawah kuona mtu mpuuz kama huyu, jimbon anaomba kura anatangaza kabsa "mim ni mbunge wa kudumu, nitakuwa mbunge wa jimbo hili had pale nitakapotaka mm kutogombea tena". U chawa tu ndo umemzidi na sifa za kijinga, rushwa nayo anaitanguliza mbele sana
 
Mpumbavu huyu sasa mbona serikali inafunga mitandao na kuwateka wanaokosoa mitandaoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…