Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Imeshindwa wapi?Serikali ya ccm imeshindwa kusimamia tu BRT ( Mwwendokasi) itaweza train?
Nani anaweza kutuambia leo kwann cards za malipo hazitumiki kwenye mendoza kasi?
Ujinga mtupu
Zilongwa mbali zitendwa mbali.
Hakukosea,walifanya hivyo Ili kuwa fursa wenye MabasiNi nani aliefanya ytafiti Dodoma akagundua saa 12 asbh hakuna abiria hadi saa nane mchana. Yani ukikosa treni ya saa 11 asubuhi inabid ukae hadi saa nane mchana. Ukienda kwenye mabasi unakuta yamejaza...kuna kitu hapa.
Treni za mizigo zilikuja kuna ugumu gani uliopo kuanza kazi? Au watu wa Malori wanawasilisha michango yao katika ofisi za kuhujumu?
Kwa nini hakuna promo za SGR yetu kwenye vyombo vya habari kuongeza hamasa ya utumiaji.
Wekeni vivutio vya kitalii kwenye SGR, vituo vyake na njia nzima tutakuza uchumi kuliko hivyo mnavyobandika na kuonesha kila mara.
Asanteni
Unaweka promo ya nini ikiwa abiria ulionao unashindwa kuwahudumia?Kwa nini hakuna promo za SGR yetu kwenye vyombo vya habari kuongeza hamasa ya utumiaji.
Ndiyo maana tukaambiwa wafanya biashara na MATAJIRI wasiwe WANASIASANi nani aliefanya ytafiti Dodoma akagundua saa 12 asbh hakuna abiria hadi saa nane mchana. Yani ukikosa treni ya saa 11 asubuhi inabid ukae hadi saa nane mchana. Ukienda kwenye mabasi unakuta yamejaza...kuna kitu hapa.
Treni za mizigo zilikuja kuna ugumu gani uliopo kuanza kazi? Au watu wa Malori wanawasilisha michango yao katika ofisi za kuhujumu?
Kwa nini hakuna promo za SGR yetu kwenye vyombo vya habari kuongeza hamasa ya utumiaji.
Wekeni vivutio vya kitalii kwenye SGR, vituo vyake na njia nzima tutakuza uchumi kuliko hivyo mnavyobandika na kuonesha kila mara.
Asanteni
Uchumi gani unaokua alfajiri tu.Shida ni kwamba mmehama kimwili lakini roho zenu ziko daresalama. Sgr iendeshwe kibiashara sio kisiasa na bilashaka menejimenti ya TRC imezingatia hivyoNAIBU Spika Mussa Azzan ‘Zungu’, amesema kama Shirika la Reli nchini (TRC), litabadilisha ratiba za safari zake ya treni ya SGR kutoka Dar es Salaam ikafika Dodoma saa 1;30 asubuhi na pia ya kutoka Dodoma ikafika saa 1;30 asubuhi itasaidia sana kukuza uchumi.
Ametoa kauli hiyo leo muda mfupi baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kumaliza kujibu maswali ya wabunge, ambapo miongoni mwa maswali hayo lipo lililoulizwa na Mbunge wa Viti Maalumu, Asha Abdallah Juma aliyehoji mikakati ya serikali kuongeza safari za SGR.
Naibu Spika amesema juzi alikuwa anazungumza na kiongozi mmoja wa TRC akamwambia wana mpango wa kuleta teni itakayotumia muda wa saa 2;45 kati ya Dar es Salaam na Dodoma na kueleza kuwa hilo ni jambo la kupongezwa sana kwa Serikali ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan.
“Lakini nikuombe Mheshimiwa Waziri Mkuu kama wataweza kubadilisha ratiba treni zao ziingie Dodoma saa 1;30 asubuhi na ikitoka hapa iingie Dar es Salaam saa 1;30 asubuhi itasaidia sana kukuza uchumi na kuhakikisha viongozi wa serikari, wabunge, watumishi wanawahi shughuli za kiserikali kwa muda unaotakiwa,” amesema Naibu Spika.
Habari Leo
===
My Take
Hii ratiba ilikuwepo ila iliondolewa kimkakati in favour ya wenye Mabasi. Ngoja tusubirie tuone.
Yaan ratiba zao hazijakaa kufanya biashara hata ule uendeashaji wao bado sana .Ni nani aliefanya utafiti Dodoma akagundua saa 12 asbh hakuna abiria hadi saa nane mchana. Yani ukikosa treni ya saa 11 asubuhi inabid ukae hadi saa nane mchana. Ukienda kwenye mabasi unakuta yamejaza...kuna kitu hapa.
Treni za mizigo zilikuja kuna ugumu gani uliopo kuanza kazi? Au watu wa Malori wanawasilisha michango yao katika ofisi za kuhujumu?
Kwa nini hakuna promo za SGR yetu kwenye vyombo vya habari kuongeza hamasa ya utumiaji.
Wekeni vivutio vya kitalii kwenye SGR, vituo vyake na njia nzima tutakuza uchumi kuliko hivyo mnavyobandika na kuonesha kila mara.
Asanteni
Wamabas fursa zipo kwa kutanua WiGo mfano Kuna route kibao bado Kuna uhaba.Hakukosea,walifanya hivyo Ili kuwa fursa wenye Mabasi