Simba Wanayo majibu.Kwani ndo ana nini huyo Balla Hatun?
Utafikiri labda ni Messi sijui...
Yani ukiingia mtandaoni unashangaa...asije akaw kama Birigimana...😄😄😄🤣🤣🤣🤣
Kivipi?Cheap propaganda
Hizo nipicha za AI
Balla conte ni midfield defender ni mcheza mzuri sana. Alikuwa anaitaji na vilabu vya ulaya sema walitoa offer ndogo sana.Hivi ndo hao walifungwa na Simba? I mean na timu zote kwny group?
Nauliza tuu
Ngoja niwe na kiasi cha maneno...
Tuache muda uongee
Hivi simba ndo hao walifungwa na yanga mechi tano mfululizo auHivi ndo hao walifungwa na Simba? I mean na timu zote kwny group?
Nauliza tuu
Ngoja niwe na kiasi cha maneno...
Tuache muda uongee
Tusahau ya PolepoleKivipi?