Mkuu umesomeka
hapa ni open forum,so before we can proceed into calling each other ungetuwekea japo mambo mawili matatu ya kutusaidia
ie
Bei
Orodha ya vifaa vilivyopo na si vibaya make na spec zake
Je na jengo linaweza kutumika hilohilo au mnunuzi sharti achukue vifaa na kuondoka?
Vilishatumika au bado?