Mkuu enzi hizo madj wetu wa kibongo hawakosi kugonga hizi vitu,akibandua hiyo anabandika love to love ya, Timberland,club hakukaliki,uuuh love to love ya love ya...ukumbi mzima ni tetemeko la viuno na mabega tuu😀😀