Aniita aaa,
Anita wangu uuu,
leleliele leee,
eh sukuma sukuma,
ili siku ziendee,
urudi nyumbani,
tuishi pamoja.
Matonya:
Nasikia mazoea yanatabu,
leo ndio naaminiii,
Tangu uondoke Anita raha nakosa mimi,
Ukumbuka tulilishana yamini,
kwamba mimi na wewe
maisha milele mpaka nafukiwa chini,
Ni mawazo yanautesa moyo wangu,
Anita nieleweee,
Natamani uyajue iliii unilinde mimi,
Sijajua uliwaza nini kuwa mbali na mimi,
Hata hilo nilijue ili nisaishe mimi,
Kama ni maradhiii, mimi ndio wako nakitari,
Unambie mapema ili dawa yake niijueee,
Kama ni waradhii iiiiiie.
Anitaaaaa
Aniita aaa,
Anita wangu uuu,
leleliele leee,
eh sukuma sukuma,
ili siku ziendee,
urudi nyumbani,
tuishi pamoja.
Jay dee.
Unajue nilikupenda zaidiiii,
ila ya dunia weee, yalikuzidiii,
Nilitamani kuwa nawe zaidiii,
kuliko yoyoteee, unaemzanii,
siku zote upo safarini, kuniacha mimi mpekwee,mimi nilikupenda sana wewe mpenzi,
Je kweli unataka kunienziiiiiiii, au unataka kunitia maaaashaakani.
Matonya:
Siku zote nipo kama chizi, njiani naongea, hiyo yote sababu yako anita kilio pokeaa,
chifu na majirani mtaani wanakuulizia,
sina la kuwajibu nabaki kama chichi najililia,
Waliniambia nikuache wewe, ili mimi niishi mwenyewe,
Masikio nikaziiba, vipi niishi bila wewe,
Wakasema hutonisamini, wala haikuniingia akilini,Gozi, gita wakapiga jua wewe ndio wamaishani,
Anita wewe umeumbika mama, kila upitapo nyuma malawama, sijiwezi mtoto wa kitanga, kwako taabani nimeshamwaga manyanga.
Anita wewe umeumbika mama, kila upitapo nyuma malawama, sijiwezi mtoto wa kitanga, kwako taabaniiiiiii.
Aniita aaa,
Anita wangu uuu,
leleliele leee,
eh sukuma sukuma,
ili siku ziendee,
urudi nyumbani,
tuishi pamoja.