sioni cha ajabu. nyie mnafikiri kuna mambo mangapi ambayo marais wetu wanafanyiwa? huo mwamvuli unaweza kuwa kwa sababu kuna viota vya ndege kwenye mti huo, au la ni kama nembo flani. Nyie mnalalamikia mwamvuli wa Museveni, Mwenge wenu unakula mafuta mangapi ambayo yangeweza kuwasha vibatali kwenye nyumba za masikini?
kalaghabaho