donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Huyo jamaa inabidi atafute mwanamke mwingine, maana uhusiano unamuumiza kichwa kabla hajauanza.niaje ndugu zangu? Hope kila mtu yupo safi. Ebana kuna rafiki yang mmoja anaface tatizo ambalo nimeona niliwasilishe hapa Jf kwa ushauri. Unajua issue ikoje? Huyu rafiki yang amefall in luv kwa mdada mmoja ambaye kwa kiingereza wanawaita Tomboy yaan msichana mwenye matendo ya kiume. Hakyanan huyu dada cjawah kuona,ni mzur kwa kwel lakn tatzo lakujifanya gangsta au tomboy ndo linamkosesha raha jamaa wang. Kwa wanaomfaham inasemekana hata shule ilikua nadra kuvaa sketi,yan kutwa utamkuta kala mikato ya kiume af hana story na wasichana wenzake kabisa zaidi ya wanaume. Halaf kibaya zaid hafagilii kabisa ishu za malavidavi. Sasa jamaa wangu yuko njia panda hajui hata aanzie wapi!
ashamweleza nia yake au anaogopa muonekano wake tu!
sasa kama mtu mwenyewe yupo hivyo anatafuta nini hapo wakati wasichana wapo wengi tu!lkn mtoto akilia wembe mpe,
wschana weng lakini moyo wa mtu fumbo kwa mwengine. Kipendacho roho mkuu
Kama kipendacho roho, aende akamwage sera. Labda ataweza kumfanya abadilike!
Mwambie awe makini aisje akawa amekutana na SHEMALE, hahahahah! Ameshamenya chombo? aangalie bwana kama si SHEMALE basi amvumilie si unajua ukipenda boga unapenda na ua lake bwana. Or else ale kona mapema atapata tu msichana mwingine
mbona hilo
sio tatizo ....
mmmm, kwa watu wenye wivu ni kazi sana ila
but mimi nawatafuta sana mabinti wa aina hii
usiende mbali
labda unaongea na mmoja wapo
hahahahahah lol
hahhaha, basi mi sichomoki hapa.ntabanana hapa hapa )ππ
mmmhhhhh
haya bana lakini sarakasi ni kote kote my dear..
mshindi lazima awe juuu... are u still in??
bado unataka kubanana?? hahahh lol
Mmmhh vijana wa siku hizi.... huko nyuma hawakuwa hivi!!!!
Mmmhh vijana wa siku hizi.... huko nyuma hawakuwa hivi!!!!