Musa Hussein mtangazaji wa radio clouds FM acha kumuiga Sam Mahela mtangazaji wa I.T.V

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,797
Kwenye kipindi cha tatu mzuka kinachorushwa live usiku huu capital TV, ITV na Clouds TV namuona anaiga swaga za Sam Mahela kuongea na hadi ile staili ya kukwepesha mikono hadi usimamaji studio naomba kumwambia aache atafute swaga yake ya kiutangazaji
 

Na Sam Mahela........aache kumuiga Salim Kikeke
 
Kwani Musa na Sam Nani mkongwe kwenye utangazaji
 
 
sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…