Murtaza Mangungu, Simba sc Hawanidai

Bado malengo ya kufika Nusu fainali Kablu Bingwa hayajatimia, nadhani tufocus huko kwasasa.

Otherwise, hakuna furaha kama Kumfunga Mtani 💪
 
Kutoka kwa Mwenyekiti wa Simba.

“Niliwaahidi mashabiki wa Simba, msimu huu lazima tumfunge Yanga na tumemfunga tukafurahi wote. Kwenye hilo mashabiki hawanidai”.

[emoji2788] Murtaza Mangungu, M/kiti wa Simba SCView attachment 2624187
Na pia Manzoki alikuja Msimbazi kama wana Msimbazi walivyokuwa wakihitaji.
 
Kutoka kwa Mwenyekiti wa Simba.

“Niliwaahidi mashabiki wa Simba, msimu huu lazima tumfunge Yanga na tumemfunga tukafurahi wote. Kwenye hilo mashabiki hawanidai”.

[emoji2788] Murtaza Mangungu, M/kiti wa Simba SCView attachment 2624187
Kiongozi kama huyu ni aibu kubwa kwa klabu kubwa kama Simba!
Yaani malengo ya mwaka mzima iwe ni kumfunga Yanga tu!
Wenzao wanakwenda nusu fainali yeye anapambana na Yanga na anasifiwa!
Kweli Simba wote ni mambumbu in Rage's voice!
 
Bado kivipi wakati mlienda uwanja wa ndege kuwapkea mashujaa wenu na mkatoa kauli kuwa hamuwadai. Sasa leo vipi mseme bado mnadai nusu fainali?
Ile ilikuwa ni kauli ya kushusha tempter ila lengo ilikuwa nusu fainali Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…