Juzi nilimwona huyu kijana kwenye interview moja kwenye Tuzo za hapa Tz. Dah kama sio Molly basi Bangi au Alcoholic huyu dogo. It's sad cause dogo ana uwezo mkubwa sana kimuziki.
Ni katika wanamziki wenye real talent Tanzania ila sijui ni stress za kuona fame yake na maisha haviendani. Sijui ila anaelekea pabaya mtu asipomkalisha na kumpa ushauri.
Mimi pia niliona, ila nasikia jamaa anatumia ngada ndio maana sikushangaa sana.
Sasa kama ni kweli (anatumia ngada) tumuombee nini? Si kaamua kutumia kwa mapenzi yake mwenyewe?
Kuna watu wanapinga ila Ben anakipaji ana vitu vichache sana vya kurekebisha!
Ana uwezo mkubwa pia wa kuimba live yofauti na waimbaji wengi hapa kwetu ambao huwa wanategemea playback, nilishashuhudia sehemu kma mbili hivi anaimba live he's good