Naogopa sana ile siku itakapogundulika kwamba dawa ya babu ina madhara kwa afya!! ....naogopa sana matokeo ya majibu hayo kwa sababu wote waliokunywa dawa wanagoma kupimwa katika hospitali ili kuthibitishwa afya zao.... HERI MIMI SIJAINYWA! nasubiri siku miamoja themanini zipite....