Mungu awalinde makamanda

njombe boy

Member
Joined
Nov 14, 2015
Posts
29
Reaction score
2
Mungu na awalinde, awe pamoja nanyi katika kesi zenu zinazoendelea baada ya kunyang'anywa ubunge katika majimbo yenu.

1. Bwana Kafulila (Mgombea Ubunge kupitia NCCR Kigoma) Mahakama Kuu Tabora

2. Bwana Emmanuel Masonga (Mgombea Ubunge kupitia CHADEMA Njombe kusini) Mahakama Kuu Mkoa Iringa

MUNGU AWE NANYI DAIMA
 
mnakomaa na story za vijiwen et kafulila kanyanganywa ubunge
 
Unapo cheza na nyani usimpe nafasi ukimpa nafasi kidogo tu hata sekunde moja lazima akualibie.
Naona hao majamaa kunamakosa walifanya ya kiubinadamu lakini sio mbaya nafasi bado wanayo na
Wajipe moyo watashinda.
 
kweli aiseee!

Sawa ila kitendo cha wabunge wa UKAWA kumuimba mtu..Maalim Seif, kuna ondoa uhalali wa madai ya uchakachuaji. It was a good move carrying a wrong message.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…