Munga tehenan.

Craig

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
1,676
Reaction score
3,143
Habari za majukumu halali wanajamvi? Mwenzenu miaka mitano iliyopita kabla ya kwenda ughaibuni nilikuwa nasoma gazeti moja linaitwa jitambue. Sasa tangu nimerudi silioni mtaani. Nikiwauliza wauzaji wananishangaa wanasema hawalijui.

I,m sure hawa watakuwa wameanza juzi kati hiyo bizz. Sasa naomba nijue ni wapi huyu muandishi yupo? Alikuwa akijitambulisha kwa jina la munga tehenan. Au wapi naweza pata nakala zake? Nawakilisha.
 
Nasikitika kukuambia kuwa Munga Tehenan alishatangulia mbele ya haki mwaka 2007

Baada ya hapo Gazeti la jitambue lilishindikana kuingia sokoni

Kwa taarifa zaidi hebu mtafute Mtambuzi atakueleza!!
 
Last edited by a moderator:
nasikitika kukuambia kuwa munga tehenan alishatangulia mbele ya haki mwaka 2007

baada ya hapo gazeti la jitambue lilishindikana kuingia sokoni

kwa taarifa zaidi hebu mtafute mtambuzi atakueleza!!
asante kaka kwa taarifa. Ila mi sikuwahi hisi kama yule jamaa angekufa mapema. Manake alikuwa mdadisi na mjuaji. Alikufa kwa maradhi au ajali? Mtambuzi where are you uu uu?????!!!!!
 
asante kaka kwa taarifa. Ila mi sikuwahi hisi kama yule jamaa angekufa mapema. Manake alikuwa mdadisi na mjuaji. Alikufa kwa maradhi au ajali? Mtambuzi where are you uu uu?????!!!!!

Kila binadamu anaweza kufa wakati wowote ule mkuu

Ni maradhi mkuu ndio yalimuondoa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…