miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 660
- Thread starter
-
- #21
Huyu hanywi pombe kabisa yani ananiumiza sana akili, kuna kipindi dada yake alikuja nikafanya makusudi nikamuomba anisaidie kupika nia yangu nimuone Kama akirudi atakula alichopika dada yake pia nacho hakula hapo ndo nilipozidi kuona kuwa Kuna tatizo mahali.Mumeo kama ni mnywaji wa pombe mpikie vyakula vya kilevi.
Cheza na vitu vya kukaanga.. kama ndizi za kukaanga;, viazi na nyama za kukaanga.
Pia mpikie michemsho chemsho kama ndizi za kuchemsha na masupu supu ya nyama nyama za kuchemsha .
Kutegemea mtu alietoka kunywa bia ale wali maharage kisa umeunga na nazi ni upumbavu.
Hata mpishi atoke mbinguni kuna vyakula mtu alietoka kunywa pombe hawezi kula
Kama ni sa hivi mpe muda, sometimes apetite inakata kwa sababu mbalimbali, kama kuna mengine utakuja kuyajua tu.alikuwa anakula vizuri tu hii tabia imeanza tu sahivi
Anaonja onja tu ndo maana simuelewi hizi ndoa tunaolewa tu kuweka heshima Ila ni mateso tu. Bora mtu ubaki single.Vp na kile chakula kingine cha usiku anakulaa fresh au nacho anaonja onjaa tuu madam.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hakuna kitu kinaumiza Kama unapika akili yako yote unaiweka jikoni ili mmeo afurahie chakula halafu analambalamba anaacha na nina uhakika atakuwa anakula huko nje coz akija anakuwa na kitambi pia ana afya nzuri tu yaani kwa jinsi anavyogusa gusa chakula angekuwa Hali nje angekuwa na afya ya mgogoro sana.Kama ni sa hivi mpe muda,sometimes apetite inakata kwa sababu mbalimbali,kama kuna mengine utakuja kuyajua tu.
Huna haja ya kujihangaisha. Kwanza, muulize ni kwanini hapendi kula nyumbani na usikie utetezi au sababu zake. Ukitaka kujua kama anakutega, ima acha kupika au pika ule na usimbakizie uone itakuwaje.Habari zenu wapendwa?
Naombeni msaada Mume wangu amekuwa pasua kichwa hapendi kula nyumbani, najua kupika nampikia vyakula vizuri lakini akija anakula tu kidogo anaacha wakati mwingine hali kabisa ukimuliza hana sababu.
Mwanzo nilijua labda napika vibaya lakini siyo maana watu wengine wakila hata wageni wanakifurahia sana chakula mpaka wananisifia najua kupika Ila mme wangu ndo tatizo anaweza akala hata vijiko 5 akasema ameshiba.
Hii hali kwakweli inaniumiza sana akili na uzuri ana mwili nahisi labda atakuwa anakula uko nje akija anakuwa labda ameshiba maana ka jinsi anavyokula hapa ndani alitakiwa awe hana hata afya yani kwa kifupi ni Kama tu hali Ila anagusagusa Kuna wakati hadi nawaza sijui kalogwa.
1. Kuwa mpole usipanic maana utaharibu mambo na utayafanya kuwa mazito zaidi,yani hakuna kitu kinaumiza Kama unapika akili yako yote unaiweka jikoni ili mmeo afurahie chakula alafu analambalamba anaacha na nina uhakika atakuwa anakula uko nje coz akija anakuwa na kitambi pia ana afya nzuri tu yani kwa jinsi anavyogusa gusa chakula angekuwa Hali nje angekuwa na afya ya mgogoro sana
Pole sana Dada.Habari zenu wapendwa?
Naombeni msaada Mume wangu amekuwa pasua kichwa hapendi kula nyumbani, najua kupika nampikia vyakula vizuri lakini akija anakula tu kidogo anaacha wakati mwingine hali kabisa ukimuliza hana sababu.
Mwanzo nilijua labda napika vibaya lakini siyo maana watu wengine wakila hata wageni wanakifurahia sana chakula mpaka wananisifia najua kupika Ila mme wangu ndo tatizo anaweza akala hata vijiko 5 akasema ameshiba.
Hii hali kwakweli inaniumiza sana akili na uzuri ana mwili nahisi labda atakuwa anakula uko nje akija anakuwa labda ameshiba maana ka jinsi anavyokula hapa ndani alitakiwa awe hana hata afya yani kwa kifupi ni Kama tu hali Ila anagusagusa Kuna wakati hadi nawaza sijui kalogwa.
Wazee wa matapu tapu🤣🤣Mumeo kama ni mnywaji wa pombe mpikie vyakula vya kilevi.
Cheza na vitu vya kukaanga.. kama ndizi za kukaanga;, viazi na nyama za kukaanga.
Pia mpikie michemsho chemsho kama ndizi za kuchemsha na masupu supu ya nyama nyama za kuchemsha .
Kutegemea mtu alietoka kunywa bia ale wali maharage kisa umeunga na nazi ni upumbavu.
Hata mpishi atoke mbinguni kuna vyakula mtu alietoka kunywa pombe hawezi kula
Mimi nadhan ni busara kutokaribisha fikra zisizojenga. Subiri ujue ukweli. Tafuta ukweli wa mambo. Kula nje sio dhambi,je ni kwanini ale nje na wapi?yani hakuna kitu kinaumiza Kama unapika akili yako yote unaiweka jikoni ili mmeo afurahie chakula alafu analambalamba anaacha na nina uhakika atakuwa anakula uko nje coz akija anakuwa na kitambi pia ana afya nzuri tu yani kwa jinsi anavyogusa gusa chakula angekuwa Hali nje angekuwa na afya ya mgogoro sana
Vyakula kukaanga tupa kuleee, ndo huwa sipendi kabsaaaMumeo kama ni mnywaji wa pombe mpikie vyakula vya kilevi.
Cheza na vitu vya kukaanga.. kama ndizi za kukaanga;, viazi na nyama za kukaanga.
Pia mpikie michemsho chemsho kama ndizi za kuchemsha na masupu supu ya nyama nyama za kuchemsha .
Kutegemea mtu alietoka kunywa bia ale wali maharage kisa umeunga na nazi ni upumbavu.
Hata mpishi atoke mbinguni kuna vyakula mtu alietoka kunywa pombe hawezi kula
Habari zenu wapendwa?