..habari wanajf,,kuna mume wa mtu mwenye watoto wawili amening'ang'ania kama ruba anataka nimzalie mtoto japo mmoja kwa madai ya kua mkewe kamjibu hana muda wa kuzaa anamuda na biashara zake maana wanaishi nyumba moja lakn kila mtu na chumba chake kwa miaka 5 sasa na hawez kumpa talaka mana wao niwakristo kanisa halina talaka na mimi ni muslim na anadai yupo tayar yeye kubadili dini mana haoni raha ya ndoa yake na mkewe,na mtoto wake wa kwanza ni best yangu kupita kiasi na mkewe ni kama dada yangu namheshmu sana..huyu mwanaume ananisumbua mpaka imefka kpnd nataka nimwambie mkewe lakni sijui nianzie wapi na mtoto wake kumwambia kama baba yake ananikera naogopa kupita kias yani hata kwao kwenda siendi tena nmebadili laini ya simu mara tatu lakn kila nikibadili ananambia labda nife ndo atashndwa kunifatilia...na akinipgia anataka kuniona ofisini kwake nsipoenda siku hiyohyo lazma aje mpaka getin kwetu kuniulizia kwetu nimekwenda wapi mana nimkubwa kazni kwao anauwezo wa kutoka muda wowote....plz nsaidieni nimwanzaje mkewe kumueleza mana sms zake zote ninazo anazonitumia na mimi simpendi hata kumuona yani ananinyima amani..,,

Hivi wewe Happiness win unawajua wanaume au unawasikia yaani kawaida ya mwanaume kuwaka tamaa kwa mwanamke yeyote anayekutana naye hata rafiki wa dada yake, rafiki wa mama yake, rafiki wa mkewe na wengine wasio ndugu ni jambo la kawaida. Tena wakati mwingine anaweza kuja rafiki wa mke wake nyumbani kuwatembelea na baada ya kuaga ameondoka, mwanaume anaweza kujifanya anaenda kukutana na rafiki yake kumbe anaenda kumfuatilia rafiki wa mkewe na kumtaka kimapenzi. Tunachotofautiana kati ya mwanaume mmoja na mwingine ni kiwango cha kudhibiti tamaa. Mwingine tamaa ikiwaka tu anataka kuitimiza kama ilivyokuja mwingine anasema hapa huyu ni fulani namheshimu na kukataa kuburuzwa na matamanio, tofauti iko hapo basi.
Kwa hiyo, anachosema Sikati Tamaa ni kweli wanaume wako hivyo na wengine mnaweza kukutana siku hiyohiyo mpaka akamtokea mwanamke na kumtongoza na siku hiyohiyo wakafanya uzinzi sembuse yule ambaye wanafahamiana, hapo ni rahisi zaidi. Anaanza oooh rafiki yako hivi, ooo rafiki yako vile, mpaka anaingiza mambo yake anayotaka.
Sikati Tamaa wakuache bwana wasioamini uliyosema achana nao, wewe pambana na huyo kisonoko hakikisha hakunyimi raha wala amani yako, BE A WOMAN WHO KNOWS WHAT SHE WANTS