lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,947
- 3,462
unachura?au umenyooka km tulia ackson.Mimi ni mgeni hapa JF ila nimekuja kwa nia moja mume.
Nahitaji mtu ambaye yupo serious na maisha.
Ila mimi nampenda mwanaume ambaye anajua anachotaka.
Ajiheshimu sijali umri najali kujua yeye anataka nini.
Mwanaume mwenye mvuto ajue kubembeleza ajichukue kiasi fulani.
Asiependa shida asiwe anaringaringa.
Awe na kazi .
Awe mkristo.
Wasifu wangu mimi ni mzuri najitambua.
Ninakazi
Najua kujali
Ila sihongi.
Nipo serious sana.
Tena uweze kuwatayari kuja huku nilipo.
Please not this even if you want a second wife.
I will be the one.(joking)
But people seriouly i need a man in my life jamani mwenye mvuto. Sio muislamu.
Mimi nilikutafuta where?when kiki unataka mimi sio star
Mimi nilikutafuta where?when kiki unataka mimi sio star
eti jirani yake Daby wewe umeshapata?acha tu nazidi kunawiri
bado jiranieti jirani yake Daby wewe umeshapata?
Sasa jirani si tunaweza tukafanya yetu tu au mpaka niweke uzi hapa?bado jirani
ndio jiran eka uzi uambatane na picha useme unamiliki nini na nnSasa jirani si tunaweza tukafanya yetu tu au mpaka niweke uzi hapa?
Ni wewe huyo ?acha tu nazidi kunawiri
yaapNi wewe huyo ?
tatizo nikiweka uzi watakuja wengi,tena wanaweza wakaja na CV kukuzidi then nikakukosandio jiran eka uzi uambatane na picha useme unamiliki nini na nn
[emoji3] [emoji3]tatizo nikiweka uzi watakuja wengi,tena wanaweza wakaja na CV kukuzidi then nikakukosa