Habari zenu wadau,
Multi maca inatokana na mmea unaoitwa lepidium meyenii kutoka nchi ya Peru na una historia zaidi ya miaka 2000,Nchini Peru mmea huu hutumika na watu kuanzia umri wa miaka mitatu na hutumika ili kuongeza stamina.
Multi maca ni vidonge vilivyotengenezwa kutoka kwa mmea huu na una faida zifuatazo kwa wanaume na wanawake;
FAIDA:
-Inaongeza stamina mwilini
-Inaongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume ma wanawake
-Inasaidia kupunguza kasi ya kukua na kuondoa tezi dume
-Inaondoa madhara ya kukoma kwa hedhi kwa kina mama
-Inarutubisha mbegu za kiume na kuongeza wingi wake
-Inasaidiatatizo la mwanaume kuwahi kumaliza tendo la ndoa
Ni bidhaa katika mfumo wa vidonge na haina mashara kwani cyo dawa ya kuongeza nguvu za kiume kwa muda unaohitaji kufanya tendo hilo ni virutubisho vitakavyokusaidia kurudi katika hali yako ya awali pamoja na kukuondolea athari nilizotaja hapo juu anayehitaji anipm tuwasiliane kwa msaada zaidi.
Wale wa kukoment pumba kwenye mada za watu pia nawakaribisha