Agent-47 JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 785 Reaction score 2,830 Oct 31, 2025 #1 Siku kadhaa kabla ya #MO29 Muliro alipata kusema “Kwa style hii, sidhani kama kuna mtu anapenda kufa” Na kweli ametekeleza alichosema. Huyu adhabu ya kifo anaikosaje sasa? Hiko wazi wazi kabisa.
Siku kadhaa kabla ya #MO29 Muliro alipata kusema “Kwa style hii, sidhani kama kuna mtu anapenda kufa” Na kweli ametekeleza alichosema. Huyu adhabu ya kifo anaikosaje sasa? Hiko wazi wazi kabisa.