Believe me Mukama kama ndo mnamtegemea kuwabeba 2015 bora mumtumie maalim Seif, coz hata kunadi sera hajui
CCM wasitumia masaburi kufikiri wanakiri hali ya ccm mbaya kuelekea 2015,Igunga CCM ilionekana kama ndio chama cha upinzani kwa kulalamika kila siku,uzushi mwingi,tuhuma za uongo,wakati Jimbo lilikuwa lao,
Ina shangaza sana kuona CCM wanafurahia kwa mbwembwe kana kwamba jimbo lilikuwa la CDM.
Kajimbo kamoja tu jasho hadi kwenye masaburi yenu,mmepeleka hadi wastaafu wakulima(Mangula) na mabingwa wa tuchukua wake za watu.
Laana ya kufikiri kwa masaburi itawatesa daima