Saluteee kwenu
kuna bidada huku mtaani kwetu jamani yaani ni muhuni had kapewa jina la KIMBUNGA.age yake ni kama miaka 21 ivi,natamani sana siku moja nimshauri kuhusu katabia kake ila hofu yangu ni kuwa naskia ukiongea nae tu UMENASWA,yaana ana MVUTO kwelikweli,wakuu nifaneje niokoe kijana huyu anaebeba watu,na habagui wala hachagui.
ya kwako inakarafuu mkuuHuyu tabia yake mbovu ndugu au hujaelewa maana ya kimbunga ni zoa zoa
Saluteee kwenu
kuna bidada huku mtaani kwetu jamani yaani ni muhuni had kapewa jina la KIMBUNGA.age yake ni kama miaka 21 ivi,natamani sana siku moja nimshauri kuhusu katabia kake ila hofu yangu ni kuwa naskia ukiongea nae tu UMENASWA,yaana ana MVUTO kwelikweli,wakuu nifaneje niokoe kijana huyu anaebeba watu,na habagui wala hachagui.
Saluteee kwenu
kuna bidada huku mtaani kwetu jamani yaani ni muhuni had kapewa jina la KIMBUNGA.age yake ni kama miaka 21 ivi,natamani sana siku moja nimshauri kuhusu katabia kake ila hofu yangu ni kuwa naskia ukiongea nae tu UMENASWA,yaana ana MVUTO kwelikweli,wakuu nifaneje niokoe kijana huyu anaebeba watu,na habagui wala hachagui.
Acha ubazazi wako we mtotoMr kama huamini uje ujionee kama hujanasa