M MACD Member Joined Oct 27, 2016 Posts 10 Reaction score 0 Jan 7, 2020 #1 Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, anahitajika muhudumu mmoja was grocery, mahali ni Morogoro Mikese. Yeyote mwenye uhitaji wa kazi hiyo anakaribishwa. Mshahara ni maelewano. Mawasiliano ni 0659 301 248.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, anahitajika muhudumu mmoja was grocery, mahali ni Morogoro Mikese. Yeyote mwenye uhitaji wa kazi hiyo anakaribishwa. Mshahara ni maelewano. Mawasiliano ni 0659 301 248.
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,009 Reaction score 17,471 Jan 7, 2020 #2 Morogoro Mikese mpaka uje hapa JF kutangaza? Huyo unayemhitaji atakuwa anaishi huko huko na sidhani hata JF kama anaifahamu
Morogoro Mikese mpaka uje hapa JF kutangaza? Huyo unayemhitaji atakuwa anaishi huko huko na sidhani hata JF kama anaifahamu
Bulaya001 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2018 Posts 6,116 Reaction score 6,874 Jan 12, 2020 #3 Watu mmeamua, Numbisa inamfaa hii.. Sent using Jamii Forums mobile app