Naitwa Brian, mwanaume, ni mwalimu wa Sekondari nipo Dar, miaka 31, natafuta mchumba (Mwanamke) na awe Mkristo (RC) au dhehebu lolote, awe Mcha Mungu na asiwe mtu wa mambo mengi (mambo ya Kidunia),
Wengine mnakuwa na fursa mlangoni lakini hamzioni. We unachunga kondoo halafu unashindwa kujua aliyenona? Angalia katika wanafunzi wako utapata mwenye sifa ulizozitaja. Subiri amalize form 6 au diploma ingiza ndani hata Lundenga alichagua kutoka kwenye kundi la kondoo wake.